KOCHA WA SIMBA OMONG KUONYESHWA MLANGO WA KUTOKEA ENDAPO AKISHINDWA KUFANYA HILI>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Sunday, November 5, 2017

KOCHA WA SIMBA OMONG KUONYESHWA MLANGO WA KUTOKEA ENDAPO AKISHINDWA KUFANYA HILI>>>>

Masikini kocha wetu mpendwa, huenda akaonyeshwa malango wa kutokea ENDAPO atapoteza mchezo wa leo dhidi ya mbeya city , Hivyo basi itamlazim kutumia kikosi ambacho kitampa matokeo mazuri.

Hata ivo imekuwa ni desturi ya vilabu vyetu hapa nchini kufukuza makocha hasa pale wanaposhindwa kupata matokeo mazuri.

Endelea kutembelea page yetu ili kujua zaidi nini kinaendelea.

Simba nguvu moja.

No comments:

Post a Comment