Klabu ya simba ilianza ligi kawa kazi ambayo kila mtu hawezi kuielezea kitu ambacho kiliwafanya mashabiki wengi kuwa huenda simba ikachuka ubingwa.
Kuna baadhi ya mashabiki waliibeza klubu ya Yanga kwa kuwa iliondokewa na nyota wao matata Simon Msuva ikiwa ni pamoja na kuandamwa kwa majeruhi katika timu hiyo.
Simba walianza kwa kumpiga goli 7 Ruvu shooting hivyo kujiweka sawa na kuiacha Yanga ikihangaika na pointi moja moja , lakini kwa sasa imekuwa kinyume kabisa pale tulipoona simba akianza kubanywa mbavu na Mtibwa suger.
Na sasa Yanga yupo kileleni akimsubilia mwenzake simba ili waende sawa.
Yanga mbele .

No comments:
Post a Comment