Klabu ya Mbeya city imeapa kuisimamisha simba kuelekea mechi ya itakayoanza hivi punde, mbeya city wamesema "Tunajua Simba ni timu kubwa lakini tutafanya kila linalowezekana kumzuia kabisa na tuhakikishe tunashinda" hayo yalikuwa maneno ya afisa habari wa mbeya city.
Simba kwa upande wao wamesema watapambana kwa dakika tisini kuhakikisha wanatoka na pointi tatu muhim na wao mchezo wa leo wanauchukulia kama fainali.
Mbeya city.
Simba kwa upande wao wamesema watapambana kwa dakika tisini kuhakikisha wanatoka na pointi tatu muhim na wao mchezo wa leo wanauchukulia kama fainali.
Mbeya city.
No comments:
Post a Comment