Baada mechi yao kumalizika hapo jana simba sasa kujiwinda dhidi ya Tanzania prisons ya huko huko mbeya. Klabu ya simba ilifanikiwa kufunga goli la ushindi kupitia kwa mshambuliaji wake Shiza Kichuya.
Hata ivo vpl inaenda mapumziko kupisha kambi ya timu ya taifa kwa ajili ya kujiwinda na mechi ya kimataifa.
Tusubili kipi simba atakifanya katika mchezo huo.
Hata ivo vpl inaenda mapumziko kupisha kambi ya timu ya taifa kwa ajili ya kujiwinda na mechi ya kimataifa.
Tusubili kipi simba atakifanya katika mchezo huo.
No comments:
Post a Comment