Baada ya klub ya Yanga kurusha dau kwa Mbaraka Yusuph msimu uliopita na kuambulia patupu, Sasa kujalibu tena dilisha dogo la usajili.
Wakati huo huo wenzao Simba tayari washaanza ushawishi kwa mchezaji huyo Mbaraka Yusuph, naomba kuweka takwim sawa kwa kusema sehem ambayo simba akiamua kuwekeza basi Yanga huwa hana janja, kwa mfano Simba waliweka dau la kumnasa Niyonzima na Yanga walishindwa kuzui dau hilo ilihari walikuwa bado wamuhitaji sana.
Kwa maana hiyo mwa vyovyote simba endapo watahitaji hudama ya Mbaraka Yusuph watamchukia tena bila shida wa wasi wasi wowote.

No comments:
Post a Comment