SAID NDEMLA KUTIMKIA YANGA DILISHA DOGO LA USAJILI, BENCH LAMCHOSHA ATUMIA AKILI KAMA YA AJIBU. SIMBA WATAFUTANA KUSAKA SAINI YAKE. SOMA HABARI ZAIDI>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Monday, November 6, 2017

SAID NDEMLA KUTIMKIA YANGA DILISHA DOGO LA USAJILI, BENCH LAMCHOSHA ATUMIA AKILI KAMA YA AJIBU. SIMBA WATAFUTANA KUSAKA SAINI YAKE. SOMA HABARI ZAIDI>>>>

Mechi ya Februari 25 dhidi ya Yanga, ilisababisha kiungo wa Simba, Said Ndemla kushindwa kupata ruhusa kwenye klabu yake ya Simba kwenda kufanya majaribio ulaya.

Saidi Ndemla ni mchezaji MWENYEWE uwezo mkubwa na asipofanya maamuzi magumu ya kuikimbi simba basi kiwango chake ndio kwanza kitazidi kufifia.

Simba walianza hivo kwa Ajib sasa wamehamia kwa Ndemla kitu ambacho kitamfanya awakimbie kama ilivotokea kwa Ajib.

Saidi Ndemla anatakiwa kutumia akili kama ya Ajib ili kujinasua na figisu azofanyiwa simba.

Endelea kukaa nasi katika ukurasa wetu.

Kasulu wadau.

No comments:

Post a Comment