KICHUYA AMDANGANYA MWAMUZI YEYE MWENYEWE ASEMA HALIKUWA GOLI, NILIZIDI KWA ASILIMIA 100, MECHI KURUDIWA>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Monday, November 6, 2017

KICHUYA AMDANGANYA MWAMUZI YEYE MWENYEWE ASEMA HALIKUWA GOLI, NILIZIDI KWA ASILIMIA 100, MECHI KURUDIWA>>>>

Kiungo hatari na machachali wa Simba na mshambuliaji wa timu ya Taifa Shiza Kichuya ndie alikuwa kinala katika mechi hiyo baada ya kuitungua Mbeya City goli la pekee ambalolilidumu mpaka kipindi cha pili.

Kichuya ndie mcheza pekee pale simba mwenye uwezo wa kufanya chochote katika muda wowote ndani ya dakika tisini.

Tulipo zungumuza na Kichuya kuhusu goli lake alisema" Nashukuru nimeipatia timu yangu ushindi ila tunaweka mipango kwa ajili ya maridiano mzinguuko wa pili.

Lakini pia Mwamuzi alikuwa sahihi japo kuna baadhi ya mashabiki wanasema ile ilikiwa of side .

Simba nguvu moja.

2 comments:

  1. Mbona mwandishi unachapia sana maneno? jitahidi kupitia upya kile unachoandika kabla ya kutufikishia mengineyo asante kwa kazi ya kutujuza kila uchao

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante sana mkuu kwa taarifa nitalifikisha wa wahusika.

      Delete