SIMBA KAMA TIMU ZINGINE ZA ULAYA, WAKATAA KUFANANISHWA NA TANZANIA PRISONI - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Friday, November 10, 2017

SIMBA KAMA TIMU ZINGINE ZA ULAYA, WAKATAA KUFANANISHWA NA TANZANIA PRISONI

Katika hari ambayo imewashangaza wengi msemaji wa simba amesema kuwa timu yake siyo ya kufananishwa na klub zingine hapa nchi, Pia ameongeza kwa kusema kuwa Simba ni timu ambayo inatakiwa kuchezea ULAYA.

Sote tunajua kuwa November 18 simba atakutana na Prison katika mzunguuko wa 10 wa ligi hii . Ila wamesema kuwa prison watafungwa si chini ya goli nne na kutanabaisha kuwa wao sio wa nchi hii.

No comments:

Post a Comment