Golikipa wa club ya wekundu wa msimbazi Simba Aishi Manula ametanabahisha kuwa anaham ya kwenda kukipiga nje ya nchi kukuza kuliwango chake,
Manula alihania simba msimu ulioisha akitokea Azam Fc ,na ikubukwe kuwa Manula bado na ndie mlinzi namba moja NA chaguo la watanzania,
Lakini pia Simba sidhani kama watakuwa tayari kumwachia aondoke.
Karibu

No comments:
Post a Comment