Chama cha mpira wa miguu Tanzania TFF kitawalazimu kuruhusu mechi za simba na Yanga zichezeshwe na waamuzi kutoka nje,
Licha ya mashabiki kulalamika lakini tff imekuwa ikilifumbia macho jambo hili bila kujua wao wakifanya hivo itawatoa kwenye mzozo kati yao na mashabiki.
Tff huenda wakarusu jambo hilo ili kuweka mambo sawa.

No comments:
Post a Comment