OKWI AUMIA MAZOEZINI HUKO RUKWA, MAELFU YA MASHABIKI WAJITIKEZA KUWALAKI, YANGA WAO KAMA ULAYA WAKIMBILIA UTURUKI >>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Friday, November 10, 2017

OKWI AUMIA MAZOEZINI HUKO RUKWA, MAELFU YA MASHABIKI WAJITIKEZA KUWALAKI, YANGA WAO KAMA ULAYA WAKIMBILIA UTURUKI >>>>

Licha ya simba kupokelewa mjini sumbawanga kwa mbwembwe kubwa mshambuliaji wao Emmanuel Anord Okwi amepata jeraha dogo ambalo huenda likamfanya asicheze mechi ya kirafiki huko mkoani Rukwa.

Simba walipokelewa na mashabiki na wanazi wakubwa wa timu hiyo kitu ambacho kimewapa faraja sana na kuomba sehemu ya kufungua uwanja Mdogo wa Simba C.

Aisha wenzao Yanga huenda wakatimkia huko UTURUKI kwa ajili ya kujiwinda na mechi za kimataifa, Yanga ambayo itaiwakilisha Tanzania kwenye kombe la Mabingwa balani Africa sasa kocha wao mkuu Lwandamina naye kuja na Washambuliaji wawili kutoka Congo aje kusaidiana na TSHISHIMBI.

Usisahau kishea katika ukurasa wetu.

No comments:

Post a Comment