Klub ya simba iko mbioni kuwaleta washambuliaji wawili raia wa kiingereza tayari kufanya nao kazi, Simba inakosa wachezaji ambao wana uwezo wa kukimbia kuelekea langoni mwa mpinzani.
Licha kwamba wamekuwa na washambuliaji wazuri lakini ile tabia ya kunyoosha miguu hawana kabisa na hii inatokana na sababu hakuna wachezaji wa zuri wanao tufundisha au tunaoiga kutoka kwao.
Endelea kufuatilia ili tujue wanamleta nani kutoa huko majuu.

No comments:
Post a Comment