SAMATA NJIA PANDA , WADAU WAMTUMIA SALAM HIZI>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Thursday, November 16, 2017

SAMATA NJIA PANDA , WADAU WAMTUMIA SALAM HIZI>>>>

Mshabulia hatari na machachali wa timu ya taifa ya Tanzania na mcheza wa Club ya Genk Mbwana Ali Samata alishindwa kujibu massege ambazo alikuwa akizipoke kutokea kwa wadau wa soka Duniani kote,

Samata bae anauguza majeraha yake alisema kuwa

"Napenda kuwajulisha kuwa Operation yangu ya mguu ilikwenda vizuri..Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunisimamia ktk kipindi hili chote kigumu...Napenda kuwashukuru Timu ya Madaktari pamoja na  mashabiki wangu wote kwa kuwa na Mimi pamoja na kuniombea kwenu bila kuchoka ktk kipindi hili kigumu....

Nimepokea Messages nyingi sana kutoka sehemu Mbalimbali Duniani ningependa kuwashukuru wote hapa kwa kuniombea dua zenu nasema asanteni wote....

Mungu amfanyie wepesi ili narudi kwenye majukum yake ya kimichezo.

No comments:

Post a Comment