Timu ya Taifa Peru kutoka bara la America imekuwa timu ya 6 kufuzu kwenda kucheza kombe la dunia mwakani kutokea ukana huo wa America baada ya wenzake Brazil kufuzu mapema.
Peru mefuzu jana baada ya kuwalaza wapizani wao kwa kiwalaza gol moja kwa nunge, Shukrani za dhati ziende wa Cavan ambae aliewafungia goli hilo na kuwafanya wasonge mbele zaidi, Japo mechi ilikuwa ngumu na haikiwa lahisi kushinda timu ya taifa ya Peru ilipambana vikali Kwa kupeleka mashambulizi mbele na kuhakikisha wanapata ushindi basi maombi yakawa upande wao.
Italia nao toka mwaka wa 1959 hawakuwahi kukosa kombe la dunia sasa awamu hii wameangukia pua baada ya kutupwa nje ya mashindano hayo, hata ivo goli kipa wao Buffon amesema kuwa ,Hii ni aibu kisitaafu bila kucheza kombe la dunia kwakel ila haina jinsi, Hayo ndio yalikuwa maneno ya Buffoni golikipa mwenye umri mkubwa kuliko magolikipa wote Duniani,
Buffon mwenye umri wa miaka 38 imekuwa ndio team captain wa timu ya taifa Italia toka mwaka 2006 ambalo mpaka wanatupwa nje ya michuano ya kufuzu kombe HILI alikua bado kashikilia mikoba hiyo.
Karibu

No comments:
Post a Comment