KICHUYA AIWEWESESHA SIMBA, MILLION 200 KUMNG'OA MSIMBAZI>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Thursday, November 16, 2017

KICHUYA AIWEWESESHA SIMBA, MILLION 200 KUMNG'OA MSIMBAZI>>>>

winga wa timu ya taifa ya Tanzania Chiza kichuya huenda akaikimbia klub yake ya Simba kwa kile kinachodaiwa kuwa Shiza Kichuya huenda akatimkia South Africa,

Kichuya ni mchezaji wa simba sport Klub ambae alijiunga na club hiyo  akitokea Mtibwa suger klub bingwa miaka ya 1999 na 2000.

Shiza Kichuya  amekataa kusaini mkataba  mpya akishinikiza timu yake imurusu atimkie makuu.

No comments:

Post a Comment