Mshambuliaji hatari wa kimataifa Emmanuel Anord Okwi amepewa majukum katika klub yake ya Simba kuelekea mechi yao dhidi ya Tanzania prison ya huko mbeya.
Okwi ameambiwa anatakiwa kila Faul itakayotokea apige yeye, kila penat yeye kubwa zaidi amepewa kazi ya kufumania nyavu za wapinzani wao.
Ikumbukwe pia simba mechi iliyopita alishinda.

No comments:
Post a Comment