Aliekuwa raisi wa simba Evans Aveva anaekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha ambae kesi yake iliitishwa leo yaahilishwa mpaka November 10 itakapotajwa tena.
Aidha Aveva amekaa rumande si chini ya miezi minne sasa na hana msaa wowote kutoka klub yale ya zamani.
No comments:
Post a Comment