SIMBA KLUB YA BILION 1.5 KUJIPIMA UBAVU NA TIMU ZA DARAJA LA KWANZA, MOTOCHINI FC YAAPA KUWACHAPA MBELE YA MASHABIKI. - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Monday, November 6, 2017

SIMBA KLUB YA BILION 1.5 KUJIPIMA UBAVU NA TIMU ZA DARAJA LA KWANZA, MOTOCHINI FC YAAPA KUWACHAPA MBELE YA MASHABIKI.

Klub ya simba inategemea kwenda mkoni Katavi leo kwaajili ya mchezo wa kirafi ambao utafanyika huko Katavi.

Simba na kikosi cha zaidi ya bilion kujipima ubavu na Motochini Fc ya pale mjini Katavi .

Tutakusogezea taarifa kadri tutakavo zipata.

No comments:

Post a Comment