SIMBA KUINGIA KAMBINI WAIWINDA TANZANIA PRISONS, OMONG ASEMA HATAMWACHA MTU SALAMA, WACHEZAJI KUJITUMA KAMA FAINALI>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Monday, November 6, 2017

SIMBA KUINGIA KAMBINI WAIWINDA TANZANIA PRISONS, OMONG ASEMA HATAMWACHA MTU SALAMA, WACHEZAJI KUJITUMA KAMA FAINALI>>>>

Klabu ya simba imeondoka leo kuelekea Mkoni Katavi ambako huko itajipima ubavu na timu zilizoko uko zinazoshiliki ligi daraja la kwanza, Ikumbukwe kuwa Simba inaenda huko huku ikiwa imemfunga mbeya city goli moja kwa sufuli goli pekee lililofungwa na Shiza Kichuya.

Simba wanakwenda kujiandaa na mechi dhidi ya Tanzania Prisons ya huko mbeya baada ya kumaliza mechi za kirafiki huko Katavi.

Karibu na endelea kupata habari kemkem kutoka hapa.

Kasulu wadau.com

No comments:

Post a Comment