CHELSEA WAMPOTEZEA COSTA BAADA YA KUITUPIA GOLI MAN U, WASEMA KIFAA KINGINE ZAIDI YA MORATA CHASHUSHWA>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Monday, November 6, 2017

CHELSEA WAMPOTEZEA COSTA BAADA YA KUITUPIA GOLI MAN U, WASEMA KIFAA KINGINE ZAIDI YA MORATA CHASHUSHWA>>>>

Baada ya ushindi wa hapo jana mashabiki wa Chelsea wamesema kuwa hawana haja tena na mshambuliaji wao wa zamani Diego Costa ambae aliondoka klubuni hapo kwa matatizo mbali mbali yaliyotokea hapo baina yake na Coach wake, wamesema wanamatumaini na kikosi chao kitafanya vizuri licha ya kukumbwa na majeruhi wengi katika kikosi hicho.

Kante ni mchezaji ambae ni mmojawapo wa wachezaji ambao walikuwa majeruhi na kupelekea timu hiyo kushindwa kutamba mbele ya AC ROMA na kukubali kulala kwa goli 3-0

Ikumbukwe kuwa Victor Moses nae ni miongoni mwa majeruhi waliopo pale Chelsea, Nae pia wiki ijayo huenda akawa vizuri.


No comments:

Post a Comment