Kocha mkuu wa klub ya Yanga anatarajia kutua nchini na beki machachali ambeye aliikimbia msimu uliopita pia beki huyu Vicent Bossou aliondoka nchini kurudi kwao bila vurugu yoyote.
Aidha Bossou ndie alikuwa beki mahili na shuja kwa kipindi chote alichokuwa pale jangwani.
Pengine akirudi Yanga wataanza kufanya vizuri eneo la ulinzi.
No comments:
Post a Comment