NDEMLA KUWAAGA KESHO MASHABIKI, SIMBA WAANZA IBADA YA MAOBEZI AFIKE SALAMA>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Thursday, November 9, 2017

NDEMLA KUWAAGA KESHO MASHABIKI, SIMBA WAANZA IBADA YA MAOBEZI AFIKE SALAMA>>>>

Klab ya simba imejipanga kumuaga na kumpa baraka zote aliekuwa mchezaji wao Said Ndemla, Simba pi watafanya maombi maarum kwa ajili ya kumtakia safari njema.

Ndemla pia amesema kati ya vitu ambavyo hata visahau kwa wana simba ni upendo mkumbwa ambao huwaonesha mashabiki wake.

Karibu sana.

No comments:

Post a Comment