KILA LAKHERI MAVUGO NENDA TU ILA KWA HILI UTAKUBUKWA>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Monday, December 18, 2017

KILA LAKHERI MAVUGO NENDA TU ILA KWA HILI UTAKUBUKWA>>

Aliekuwa mshambuliaji hatari wa simba na timu ya taifa ya Burundi Mavugo hatimae huenda akatimukia katika club  ya AFC Leopord ya nchini Kenya kutokana na iwezo alouonyesha katika timu yake ya taifa.

Mavugo ambae mpaka sasa hajajua hatima yake ndani ya viunga vya wekundu wa msimbazi simba bado yuko nchini kwao akiendelea kujinoa kila kukicha,

Mavugo ambae bado anamkataba na Simba alijiunga na Simba akitoke Vitalo ya Burundi lakini mpaka leo ameshindwa kuipatia mafanikio timu yake hiyo ambayo makazi yake yako mitaa na Msimbazi.

Usisahau kuwa mavugo mwenye umri wa miaka 25 amekuwa mmoja kati ya wachezaji muhim na wenye mchango mkubwa licha ya simba kumuona hanauwezo wa kuwasaidi.

Nenda nenda tu Mavugo tunakutakia mafanikio mema katika soka huko uendako.

KASULUWADAU.

No comments:

Post a Comment