Baada ya mapumziko ya kalenda FIFA tarehe 18 mechi sasa za ligi KUU kuendelea na tutashuhudia uhondo wa aina yake pale magwiji wa soka Simba na yanga watakapo saka ushindi dhidi ya timu watakazo kutana nazo.
Simba itambidi kutafuta nafasi zaidi ili kujihakikishia ubingwa wakati huo itambiti aifunge Prison ili Yanga asije mfikia.
Yanga inawabidi waombe Prison amfunge Simba ili sasa azidi kumkimbiza pale juu ikumbukwe kuwa atakae zichanga vizuri ndie huyo atakaye shinda.
Tembelea Kasuluwadau.com
Kwa habari zaidi.

No comments:
Post a Comment