RECORD ZA MANJI NA MO KATIKA SOKA LA TANZANIA
RECORD ZA MANJI
Alianza Kujihusisha Na Soka La Tanzania Mwaka 2005 Kupitia Yanga Sc Ambapo Ameiwezesha Timu Hiyo;
1 - Kutwaa Mataji 18,
*VPL Mara 9
(2005, 2006, 2008, 2009, 2011, 2013, 2015 ,2016 Na ,2017)
*KAGAME CUP Mara 2 (2011 Na 2012)
*TUSKER CUP Mara 2 (2006 Na 2009)
*NGAO YA JAMII Mara 4
(2010,2013,2014,2015)
*FA CUP Mara 1 (2016)
2 - Aliiwezesha Yanga Sc Kuwa MABINGWA Wa Tanzania Na Afrika Mashariki Na Kati Mwaka 2011
3 - Aliiwezesha Yanga Sc Kutwaa Ubingwa Wa VPL Mara 3 Mfululizo
4 - Aliiwezesha Yanga Sc Kutwaa Ubingwa Wa AFRIKA MASHARIKI NA KATI Mara Mbili Mfululizo
5 - Aliiwezesha Yanga Sc Kutwaa MAKOMBE Ma 3 Ndani Ya Msimu Mmoja
6 - Aliiwezesha Yanga Sc Kucheza Kombe La Shirikisho Barani Afrika Hatua Ya Makundi
MO DEWJ
1 - Alikua Mfadhili Wa Simba Sc Miaka Ya 2000 Mwishowe Aliikimbia Na Kuitelekeza Timu Hiyo
2 - Alikua Mfadhili Wa SINGIDA UNITED Akaishusha Daraja
3 - Aliinunua Africa Lyon Ikiwa Inaitwa Mbagala Market Akaishusha Daraja

No comments:
Post a Comment