Simba waliamini msimu huu wangeupata Ubingwa kirahisi kutokana na ubora wa kikosi chao na fedha walizonazo kutoka kwa Mo.
Imani hiyo walikua nayo kabla ya kukutana na Yanga ambayo Yanga imeanza msimu kinyonge.
Sasa baada ya mechi ya Yanga Vs Simba, Simba wamegundua kua Ubingwa hawataupata kirahisi kama wanavyodhani.
Wamegundua kuwa kumbe na Yanga wapo vizuri licha ya swaumu yao.
Baada ya kugundua yote hayo, Simba wameanza kutafuta pa kujificha.
Kabla ya mechi ya dhidi ya Yanga, tambo za Simba zilikua ni magoli ya Okwi, tambo zilikuwa ni zawadi za Ushindi mnono walizotoa kwa Marais wa Tz.
Ghafla wamebadilika na wanadai kuonewa, hii si mara ya kwanza Simba kuibua agenda ya kuonewa ingawa msimu huu malalamiko yao wameyaboresha kwa kubebeba Tv kuonyesha wanavyooonewa...
Ninachoamini mimi Simba imeanza tena kuwadanganya wanachama wao kama walivyofanya msimu uliopita ila msimu huu wameanza mapema.
Wednesday, November 1, 2017
New
Matumaini ya Simba yageuka tena , Fuatilia hii bila kukosa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment