Ligi ya mabingwa barani Ulaya itaendelea tena usiku wa leo kwa mechi nane kupigwa katika viwanja tofauti. Jana kulipigwa mechi nane pia huku mabingwa watetezi Real Madrid wakipata ushindi mnono wa mabao 6-0 dhidi ya APOEL Nicosia.
Kutakuwa na michezo miwili ya mapema kati ya Qarabag FK ikiikaribisha Chelsea na CSKA Moscow dhidi ya Benifica zitapigwa saa 2 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Vinara wa kundi A Manchester United ikiwa na nyota wake Paul Pogba, Zlatan Ibrahimovic na Marcos Rojo itakuwa ugenini nchini Urusi kuikabili FC Basel.
PSG ambayo inaongoza kundi B itakuwa nyumbani Parc des Princes kuwakabili Celtic wakati Anderlecht ikicheza na Bayern Munich.
Mchezo mwingine unao subiriwa kwa hamu kubwa usiku wa leo utakuwa wa kundi D kati ya wenyeji Juventus dhidi ya Barcelona.

Barcelona wako vizuri katika ligi ya Hispania ikiwa kinara kwenye msimamo wakati Juve wakisuasua lakini wanapokuwa nyumbani shughuli yao inakuwa kubwa. Barca ndio vinara wa kundi hilo wakiwa na pointi 10 huku Juve wakishika nafasi ya pili na alama zao 7.
Ratiba kamili ya mechi za leo
CSKA Moscow vs Benfica (saa 2 usiku)
Basel vs Manchester United (saa 4:45 usiku)
Anderlecht vs Bayern Munich (saa 4:45 usiku)
22:45Paris Saint Germain vs Celtic (saa 4:45 usiku)
Qarabag FK vs Chelsea (saa 2 usiku)
Atletico Madrid vs Roma (saa 4:45 usiku)
Juventus vs Barcelona (saa 4:45 usiku)
Sporting CP vs Olympiacos (saa 4:45 usiku

No comments:
Post a Comment