SIMBA NA YANGA HIZI NDIZO TOFAUTI ZAO , MAKOCHA WAAMINI HIVO>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Wednesday, November 22, 2017

SIMBA NA YANGA HIZI NDIZO TOFAUTI ZAO , MAKOCHA WAAMINI HIVO>>>

TOFAUTI KATI YA SIMBA NA YANGA HIZI HAPA;
1:kikosi cha Yanga kina Wachezaji wengi makinda tofaut na simba ambayo ina wakongwe wengi(WAHENGA).
2:Gharama za usajili waliyotumia ni ndogo ukitofautisha na simba
3:Pamoja na kutumia gharama ndg kweny usajili lakini Wachezaji wa Yanga wamekuwa na msaada pamoja na kuonyesha uwezo fulan tofaut na simba walotumia gharama kweny usajili lakin Wachezaji wamekuwa hawaisaidii timu.
4:Tofauti nyingine ni Walimu wanaozifundisha hz timu, GL akionyesha uwezo wake ktk kufundisha na kupractise uwanjan huyu OMOG akionyesha udhaifu wake kweny kupangiwa kikosi na mashabik wkt kwa professional yake ni kosa sana kocha kupangiwa kikosi.
5:Wakati Yanga ikiwa na msemaji wa timu tofaut kwa Simba wao wana mropokaj
6:Yanga wakiwa mabingwa wa kihistoria wakiweka rekod ya kuchukua kombe la lg Mara 3 mfululizo tofaut na simba wakibak na rekod ambayo haina mashiko ya kucheza final na kuona kombe likichukuliwa na timu pinzan.
Kwa Leo tuishie hizi kuna tofaut nyng sana ambazo nitazid kuziweka wazi ili Yanga isiwe ya kufananishwa na mbumbumbu fc

No comments:

Post a Comment