Simba Hii Ilikuwa Ni Moto Wa Tiper
Wengi Wetu Hawakupata Kuiona Simba Hii...
Lakini Kama Kweli Ni Mpenzi Wa Simba Hutoacha Kutaka Kujua Historia Ya Timu Unayoipenda....
Kwa Vijana Wa Miaka Ya Wa Miaka Ya 98 Mpaka 2000. Hawakuwaona Mastaa Hawa Wakikipiga Ila Unaweza Kujua Japo Mchezaji Mmoja Au Wawili Au Wote.
Taja Jina La Mchezaji Unaemkumbuka Na Alikuwa Akicheza Namba Ngapi Enzi Hizo
Mie Naanza Na Mohammed Mwameja,Alikuwa Tanzania One Kama Alivyo Aishi Manula Sasa Hivi...Hahahah
Namuona Kocha Wa Lipuli. Kwa Sasa Yuko Mstari Wa Nyuma
Nambie Sasa Na Wewe Nani Alikuwa Nafasi Gani....
Je waweza niambia ni kikosi cha mwaka gani???
Fuatana nami na endelea kukaa nasi.

No comments:
Post a Comment