Mikoba Aliyokabidhiwa Jana Ninathubutu Kusema Ameitendea Haki Kwa Asilimia Mia Moja.........
Simba Ina Hazina Kubwa Sana Ya Wachezaji,Lazima Tuseme Kweli.Kocha Bado Ni Kikwazo Ktk Kuwapa Nafasi Hawa Vijana.
Usajili Wa Dirisha Dogo Usifanywe Kwa Kukurupuka,Lazima Uendane Na Matakwa Ya Timu..
Hongera Sana Yussuf Mlipili Umedhihirisha Kuwa Hukufanya Makosa Kuja Simba.
Karibu.
No comments:
Post a Comment