YANGA KUINGIA UWANJANI KITEMI LEO DHIDI YA MBEYA CITY, HATUA KWA HATUA UBINGWA MARA YA 4 , SIMBA WAONGEA HILI>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Sunday, November 19, 2017

YANGA KUINGIA UWANJANI KITEMI LEO DHIDI YA MBEYA CITY, HATUA KWA HATUA UBINGWA MARA YA 4 , SIMBA WAONGEA HILI>>>>

Rekodi inaibeba Yanga nyumbani vs Mbeya City.
Leo Jumapili ya November 19, 2017 kikosi cha Yanga kitakuwa uwanja wa Uhuru kuikabili Mbeya City.  Yanga ina rekodi nzuri dhidi ya Mbeya City kwa mechi za Dar, imeshinda mechi tano zilizopita. Mbeya City haijawahi kushinda wala kutoka sare dhidi ya Yanga kwa mechi zilizochezwa Dar tangu klabu hiyo ilipopanda daraja kucheza ligi kuu Tanzania bara mwaka 2013

Yanga ambayo ina kikosi kipana wamepanga kuichapa Mbeya city magol mengi kuelekea mchezo wao leo.

Simba nao waapa kuishabikia mbeya city kuhakikisha wanachomoza na ushindi.

Karibu

No comments:

Post a Comment