Operation Angamiza Vyura
Bila Shaka Hamuwezi Kupoteza Mechi Mbili Mfululizo,Kweli Tuliwapa Kimoko Ila Najua Leo Hamuwezi Kukubali Kufungwa Tena...
Tutakuja Kuwapa Support Ili Nanyi Mupate Point Tatu Muhimu...
Ngaya Wana Hali Mbaya Sana Na Muda Wowote Ngumi Zitaruka,Tumuombee Mkwasa Mkate Usije Ukaingia Maji....
Nendeni Mukapambane Tuko Nyuma Yenu
Adui Muombee Njaa.
😂😂😂😂

No comments:
Post a Comment