Klub ya simba ni timu ambayo nikongwe nchini Tanzania mwaka 1936 ambao ni mwaka mmoja mbele ya mahasimu wao Yanga Africa ambayo ilianzishwa miaka ya 1935.
Simba ni club ambayo imekuwa na kikosi chenye upinzani siku hadi siku kitu ambacho kimeifanya klub hii kuwa maarufu na kujinyakulia mashabiki wengi zaidi ndani na nje ya nchi.
Simba ambayo tarehe 18 itakuwa Mkoani mbeya kupambana na Prison katika mwendelezo wa ligi kuu watakiwa na changamoto kubwa ambayo huenda wasipochanga karata zao vizuri watapoteza game hiyo.
Okwi ambae kapata majeraha kwenye mechi yao ya kirafiki dhidi ya Rukwa Fc sasa huenda akaukosa mchezo huo, Afisa habari wa Klub amesema kuwa endapo atakosekana katika mchezo huo bado wa na wachezaji wazuri wenye uwezo mkubwa wa kupambana na kuhakikisha wanatoa point tatu.

No comments:
Post a Comment