MASHABIKI YANGA WAMBEZA MAFANIKIO YA WEKUNDU WA MSIMBAZI, SASA SIMBA WAJIBU MAPIGO>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Tuesday, November 14, 2017

MASHABIKI YANGA WAMBEZA MAFANIKIO YA WEKUNDU WA MSIMBAZI, SASA SIMBA WAJIBU MAPIGO>>>>

USHABIKI MWINGINE RAHA SANA YAANI HUPATI PRESHA, TIMU ZANGU ZOTE ZIME BEBA KOMBE;

1. ARSENAL KABEBA FA CUP, HILI KOMBE LA 7, NDIO ANAONGOZA KWAKUTWAA HILI KOMBE MARA NYINGI UINGEREZA NZIMA.

2. YANGA KABEBA KOMBE LA LIGI KUU TANZANIA BARA HADI LEO NI MARA 27 NA HATRICK RECORD YA KOMBE WAKATI SIMBA KOMBE HILI KABEBA MARA 18 BILA HATRICK, SIMBA KAZIDIWA MARA 9.

3. REAL MADRID NAYO KAMA KAWAIDA.

RAHA SANA AISEE

No comments:

Post a Comment