CHELSEA YAZIDI KUSOGEA KILELENI MWA LIGI KUU ENGLAND BAADA YA KUILAZA MAN UNITED,>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Sunday, November 5, 2017

CHELSEA YAZIDI KUSOGEA KILELENI MWA LIGI KUU ENGLAND BAADA YA KUILAZA MAN UNITED,>>>>

Chelsea imefanikiwa kuifunga goli moja klabu ya man u baada ya makosa yaliyofanywa na walinzi wa United kushindwa kumzuia mshambuliaji hatari na matata Morata ambae aliunganisha pasi murua kutoka kwa Azpilicuta.

Chelsea ambayo imetoka itaria ikiwa imefungwa goli tatu ilibidi hasira zao waziekeze kwa Man u.

Kwa habari nyingi tembelea ukurasa wetu huu.

No comments:

Post a Comment