KICHUYA AIPELEKA SIMBA KILELENI MWA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA, MASHABIKI WA YANGA WATAFUTA MLANGO WA KUTOKEA. - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Sunday, November 5, 2017

KICHUYA AIPELEKA SIMBA KILELENI MWA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA, MASHABIKI WA YANGA WATAFUTA MLANGO WA KUTOKEA.

Mshambuliaji hatari wa klub ya simba na timu ya taifa ya Tanzania Shiza Kichuya ameifungia timu yake ya simba goli moja ambalo limedumu mpaka dakika ya mwisho.

Pia simba wamepanda wametoka nafasi ya tatu mpaka ya kwanza ,Simba huenda ikawa ndio timu pekee Tanzania ambayo imenunua wachezaji kwa gharama kubwa.

Katika mchezo huo mashabiki wa yanga walio kuwemo katika uwanja huo waliamua kuondoka hata kabla mechi kuisha.

Simba nguvu moja.

No comments:

Post a Comment