Timu ya taifa ya Tanzania iliyoko Benin kwa mechi ya kirafiki imefungwa goli ambalo limekuwa na utata mkubwa pale tuliposhuhudia mshambuliaji wa Benin alipogusa mpira kwenye lango la Tanzania na mwamuzi kuamuru penati ipigwe kuelekea Tanzania.
Hakika hiki ni kitendo ambacho si chauungwana hata kidogo.
Tutakuletea habari mbali mbali kadri tutakavo jaariwa.
Hakika hiki ni kitendo ambacho si chauungwana hata kidogo.
Tutakuletea habari mbali mbali kadri tutakavo jaariwa.
No comments:
Post a Comment