STARS YAFANYA KWELI UGENINI HUKO UGHAIBUNI,SAMATA ATUMA UJUMBE>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Sunday, November 12, 2017

STARS YAFANYA KWELI UGENINI HUKO UGHAIBUNI,SAMATA ATUMA UJUMBE>>>>

Taifa stars yatoa sale ya 1-1 dhidi ya wapinzani wao Benini, Timu ya Taifa ya Benin ndio ilianza kupata goli la kwanza kwa mkwaju wa penati wakati Tanzania walipata goli dakika za 67 kupitia kwa Elias Maguli.

Tunategemea kupanda viwango vya FIFA

No comments:

Post a Comment