Mchana wa leo klabu ya Yanga imefanya mkutano na waandishi wa habari na mambo mbalimbali yamezungumzwa :-
"Kikosi kimepewa mapunziko na siku ya Alhamisi Wachezaji watarejea kuanza Mazoezi kujiandaa na Mchezo wa Kombe la Azam Sports na Donald Ngoma kwa mujibu wa Daktari amesema siku ya Alhamisi ataungana na timu nzima kuanza Mazoezi kwa ujumla kwenye Kikosi hatuna Majeruhi"
"Vikosi vya yanga pamoja na Matokeo ya mechi za Yanga SC unaweza kupata kupitia Mtandao wa TIGO kwa kutuma neno YANGA Kwenda 15501 na makato ni Tshs 100 kwa siku"
"Wachezaji wetu Tshishimbi, Chirwa na Makapu watakosa Mchezo wa kwanza wa kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuwa na kadi walizopata katika Klabu Bingwa Afrika"
"Asanteni Watanzania kwa sapoti yenu mliotupa Wawakilishi wenu Katika Klabu Bingwa Afrika Yanga SC na kombe la Shirikisho Simba SC tunaiomba sapoti hiyo muiendeleze kwani Yanga SC bado ipo Katika kombe la Shirikisho na Droo itafanyika kesho tumejipanga kila namba kumpokea mpinzani wetu"
"Tunawaomba msamaha Mashabiki wetu kwa kutolewa katika Klabu Bingwa Afrika tunawahaidi kufanya vizuri kombe la Shirikisho"
Hayo ni Machache yalioongelewa na Msemaji wa Yanga SC Dismas Ten katika mkutano wa Yanga SC na Waandishi wa Habari leo hii Makao Makuu ya Klabu.

No comments:
Post a Comment