Na Shahidu
kamati za kudumu za bunge wizara ya ardhi,maliasiri na utarii zafanya ziara siku 2 wilayani misenyi.
kamat ya kudumu ya bunge wizara ya ardhi mawasriano na utarii imefanya ziara ya siku 2 wilayani misenyi mkoani Kagera kwa lengo la kutembelea eneo la mpaka wa tz na uganda kujionea hali halsi ya mipaka hiyo.
kamati hiyo chini ya mwenyekit wake,ambaye pia ni mbunge wa mtama mh nape nnawiye,ameleza kutorizishwa na mipaka hiyo nakusema kua inapaswa kutumika njia za haraka kwa pande 2 ili kuweka mpaka unaoonekana vizuri kwa lengo la kuwasaidia wakazi wa maeneo hayo kujua mipaka halisi.
Wakati wajumbe wa kamati hiyo wakiendelea na ziara hiyo ya kuhakiki mipaka ya nchi,wananchi wa kata ya kakunyu walielezea vitendo vya vitisho wanavyo fanyiwa na wawekezaji kua vinawanyima uhuru na amani ya wananchi hao.wakiongea na chombo hiki kwa kutotaka kutajwa majina yao kwa kuhofia kusumbuliwa,wananchi hao walisema mgogoro wa ardhi umekua migumu na wa mda mrefu na kuomba jamii kuzdi kupaza saut juu ya mgogoro huo.
Mgogoro wa ardhi baina ya wawekezaji na wananchi,umechukua mda mrefu zaidi ya miaka kumi sasa,ambapo bado hapajapatikana utambuzi wa kudumu juu ya swala hilo wajumbe wakamat hiyo ya kudumu ya bunge walsma kua kubwa kabisa lililo waleta ni kuangalia mipaka,na mengine yatafatia.maeneo yalio tembelewa na kamati hyo ni kakunyi,mtukula,na na kashenye,
Wajumbe wa kamati hiyo pia waliongozana na naibu wazir ardhi maendeleo makazi bi anjelna mabul.

No comments:
Post a Comment