Na Nesphory
Kasuluwadau.blogspot.com
Club chipukizi Lake Fc kutoka mkoani Kagera iko katika jitihada za kupambana kucheza ligi za juu Tanzania hasa katika ligi ya Vodacom.
Katika vikao vyao viwili walivyo kaa mwanzo na mwishoni mwa wiki hii viongozi wa Lake Fc kwa kauli moja wameashimia kuifikisha mbali timu hiyo na kuahidi kuifikisha mbali kisoka hapa nchini.
Aidha timu hii ambayo imejinyakulia umaarufu ndani ya muda mfupi kwa kucheza mechi za kirafiki na mechi zote kushinda kwa idadi ya magoli ambayo si chini ya 5 kwa kila timu iliyokutana nayo imejizatiti kabisa kupambana na kila timu watakayo kutana nayo.
Timu hii ina wachezaji Mahili na wanaojitu katika kila idara na huenda wakafika mbali zaidi kulingana na timu zingine zinazoibuka na kupotea.
Ifahamike kwamba katika mkoa wa KAGERA kuna timu moja tu inayoshiliki ligi kuu bara ambayo ni kagera suger na timu moja inayoshiliki ligi daraja la kwanza.
Mazoezi , Lake Fc hufanya Mazoezi katika viwanja vya Lake view secondary iliyoko BUKOBA mjini membezoni mwa ziwa Victoria.
Karibuni sana wadau mjionee kiwango mahili kinachotolewa na vijana hawa.
Kasuluwadau. Blogspot. Com

No comments:
Post a Comment