Klub kubwa kabisa hapa nchini Tanzania Yanga Africa jana imekubali kulala kwa kufungwa goli mbili bila majibu pale katika jiji la Mwanza dhidi ya Mbao Fc
Yanga iliwakosa masataa wake kama AJIB, CHIRWA ,YONDANI ambao kwa namna moja ama nyingine wangeweza kufanya kitu kikubwa.
Kwa ujumla Yanga walizidiwa kuanzia nafasi ya ulinzi mpaka kwa washambuliaji na nafikili watajipanga.

No comments:
Post a Comment