SIMBA YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA MAJESHI THE GREEN WORIOS>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Friday, December 22, 2017

SIMBA YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA MAJESHI THE GREEN WORIOS>>

Klub ya simba ambayo ilianzishwa miaka ya 1936 leo hii imejikuta ikiangukia pua kwa kichapo cha penati 5-4 dhidi ya Green worios  ambayo inashiliki ligi daraja la kwanza.

Green walikuwa wa kwanza kukosa penati simba wakapoteza kupitia kwa beki wao wa kutegemewa Hohamed Hussein ( Shabalala) na baadae kukosa ya pili wakati Green wao walikosa penati moja.

Sasa Green worios wanasonga mbele.

No comments:

Post a Comment