GIVEN SINGULUMA AACHANA TP MAZEMBE ABISHA HODI MSIMBAZI:
Aliyekuwa mfamania nyavu wa klabu ya Tp Mazembe raia wa Zambia, Given Singuluma ameamua kuachana na timu hiyo aliyoitumikia kwa miaka minane baada ya mkataba wake kumalizika, habari ambazo hazijadhibitishwa zinadai kuwa huenda akatimukia ktk klabu mojawapo ya bongo hasa Simba Sc siku za karibuni timu hyo ya msimbazi imekuwa ya kwanza kusajili wachezaji waliowahi kucheza klabu kubwa afrika na kupata tuzo ya mataji ya kombe la klabu bingwa na shirikisho,miongoni mwa wachezaji hao ni Janvier Bukungu na wacheza toka simba kwenda mazembe ni Mbwana Samatta na Patrick Ochang. Singuluma amefanikiwa kuipa mataji kwa mda wote akiwa anaitumikia ikiwemo ubinwa wa ligi,makombe ya shirikisho na klabu bingwa afrika.
Wakati huo Yanga wasipojitathimini ubingwa wa awam hii huenda wataukosa kwa kile ambacho Donald Ngoma anawafanyia
Pendekezo langu ni vizuri waachane nae ili wafikilie kucheza mpira tu.

No comments:
Post a Comment