Raundi ya 12 ya ligi kuu Tanzania bara imeanza kutimua vumba kwa klabu ya Azam Fc kutelemka dimbani ikiwakarisha wapiga debe wa mji wa Shinyanga na kuwashushia kipigo cha goli tatu kwa mtungi.
Hata hivyo ligi hiyo inatarajiwa kuendelea leo kwa viwanja mbalimbali kutimka vumbi ambapo burudani itakuwa kama ifuatavyo…
Shangwe hizo zitaanza mapema kabisa majira ya saa 8 mchana pale ambapo klabu ya Lipuli ya mjini Iranga itakapo waalika Wajelajela ‘Tanzania prisons’ kutoka mbeya katika uwanja wa Samora ulioko Mjini Iringa.
Baada Ya a Hapo saa 10 jioni tutawashuhudia watoto wa Thobias Kifaru wakishuka dimbani kuwakabili wale wapambanaji wa majimaji kutoka kule mjini Songea katika mtanange unaotarajiwa kuwa wa kukata nashoka kwani vijana hao wenye maskani yao pale manungu, Morogoro wanahitaji kupata pointi tatu ili kuendelea kuusogelea ubingwa wa ligi kuu huku wenzao nao wakifukuza upepo kwa nyuma.
Shangwe hizo zitahitimiashwa na wababe wa mitaa ya Msimbazi,Simba Sc kwa kushuka ugenini dhidi ya Ndanda Kuchele pale katika uwanja wa Nangwanda Sijaona.
Macho na masikio ya wengi yatakuwa katika pambano hilo kwani linaweza kuamua ni nani anashika usukani wa ligi hiyo kwani endapo Simba atashinda basi ni wazi kwamba atarejea kileleni na kama atapoteza huenda akawapa nafasi Azam au watani wake wa jadi ambao wao watakuwa na kibarua kigumu hapo kesho dhidi ya timu ngumu iwapo nyumani.

No comments:
Post a Comment