SAMATTA NJE WATATU WAINGI KUCHUANA MCHEZAJI BORA AFRICA>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Monday, December 18, 2017

SAMATTA NJE WATATU WAINGI KUCHUANA MCHEZAJI BORA AFRICA>>

Wakati SAMATTA akiendelea na matibabu wachezaji wenzake kama Mohammed Salaa,Aubamayang Na Sadio Mane Waingia Ktk Fainal Ya Kumtafuta Mwanasoka Bora Wa Afrika Mwaka 2017.

Nani Unahisi Anastahili Kuwa Mwanasoka Bora Wa Afrika Kwa Mwaka Huu

Tusubili kuona.

No comments:

Post a Comment