HII NDIO TIMU PEKEE INAYOFANYA VIZURI UKANDA HUU WA CECAFA KATIKA LIGI NDANI YA MIAKA MITANO MFURULIZO>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Wednesday, December 20, 2017

HII NDIO TIMU PEKEE INAYOFANYA VIZURI UKANDA HUU WA CECAFA KATIKA LIGI NDANI YA MIAKA MITANO MFURULIZO>>

JE WAJUA?
YANGA SC Ndiyo Timu Pekee Ilofanya Vizuri Katika Ligi Kuu Ndani Ya Miaka 5  Yaani 2012-2017 Katika Ukanda Huu Wa Afrika Mashariki  Na Kati Wa CECAFA Pamoja Na Ukanda Wa Kusini Mwa Afrika Yaani COSAFA, Takwimu Zinaonyesha Kwamba Ndani Ya Hiyo Miaka 5, Yanga Sc;

1  Imekusanya Jumla Ya Makombe 9 Ambapo Katika Makombe Hayo,

*Vpl 4,
*Ngao Ya Jamii 3,
*Kagame Cup 1
*F A Cup 1

2  Imetoa Wachezaji Bora Ndani Ya Miaka 2 Mfululizo

Simon Msuva -2015
Juma Abduly - 2016

3 Imetoa Wafungaji Bora Ndani Ya Miaka 3 Mfululizo,

Simon Msuva - 2015
Amis Tambwe -2016
Simon Msuva - 2017

4 - Ilitwaa Makombe Yote Ya Tanzania Ndani Ya Msimu Mmoja Wa 2015 / 2016 Yaani;

*Ngao Ya Jamii
*Vpl
*FA Cup

5  Imetwaa Taji La Ligi Kuu Mara 3 Mfululizo

6 Imemiliki Kombe La Kwao Binafsi La Vpl

#Hakuna Timu Yenye Takwimu Kama Hizi Katika Ukanda Huu Wa Afrika Mashariki Na Kati Pamoja Na Kusini Mwa Afrika

No comments:

Post a Comment