HII NI AIBU KUBWA
KIONGOZI MKUBWA KAMA HUYU KUMTAKA OMOG AJIUZULU KWENYE MITANDAO NI AIBU
YUSUFU MANJI HAKUWAHI KUFANYA UPUUZI KAMA HUU ATA SIKU MOJA
KWANI KLABU HAINA VIKAO VYA NDANI VYA VIONGOZI?
TATIZO LA SIMBA SIYO KOCHA, TATIZO LA SIMBA NI WACHEZAJI, WANACHAMA, MASHABIKI NA VIONGOZI WAO HAWAJUI NINI WANAKIITAJI , HILI NDILO TATIZO KUBWA AMBALO SIMBA TUNALO
TIMU ANASAJILIWA NA VIONGOZI OMOG KOSA LAKE LIPI?
HII NI AIBU KUBWA BUSARA HAITOLEWI KWENYE MITANDAO, HUKU KUNA WAVUTA BANGI, WAVIVU WAKUFIKIRI NA WAROPOKAJI
KAULI YA MO NI YAKIBOYA, KAMA MWANAUME ASEME OMOG NAMFUKUZA KAZI, SIYO AJIUZULU
SIJAWAHI KUONA SIMBA MBOVU KAMA HII TOKEA NIANZE KUUFAHAMU MPIRA
HUKO TUENDAKO KUNA MAMBO MAWILI YATATOKEA KWA MASHABIKI WA SIMBA, KAMA SIYO KUACHANA NA MPIRA BASI WATAKUJA KUFIA VIWANJANI

No comments:
Post a Comment