DROO LIGI YA MABINGWA AFRICA YANGA FC MIKONONI MWA TIMU HII ,WAKATI SIMBA AKITUMBUKIA HUKU>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Wednesday, December 13, 2017

DROO LIGI YA MABINGWA AFRICA YANGA FC MIKONONI MWA TIMU HII ,WAKATI SIMBA AKITUMBUKIA HUKU>>>

Droo ya Mechi za awali za kuwania kufuzu katika Makundi ya Michuano ya Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika kwa ngazi ya vilabu Inatarajia kufanyika hapo kesho jijini Cairo, Misri...Ambapo wawakilishi pekee kutoka Tanzania Bara Simba SC Kombe la Shirikisho na Yanga SC klabu Bingwa Afrika watajua wanakutana na nani....Mechi hizo zinatarajiwa kupigwa Mwakani February 8-18 Kwa Hatua za Awali na Zile za Marudiano zitafanyika March 9-18....

👉Hizi timu kubwa ambazo zitashiriki Klabu Bingwa Afrika ambapo Yanga SC wapo.
Al Ahly,Esperance, Etoile Du Sahel,TP Mazembe, AS Vita,Es Setif,MC Alger,Mamelodi Sundowns, Wydad Casablanca, Acec Memosa,Zanaco na Zesco...

👉Na hizi zipo Kombe la Shirikisho huenda wakakutana na Simba SC...
Zamalek,Enyimba,Raja Casablanca, DC Matema pembe,USM Alger,Nkana Rangers,SuperSports United na CR Belouizdas...

No comments:

Post a Comment