BAADA YA SALE TASA YANGA VS POLISI TANZANIA , SIMBA NA AZAM WATUMA SALAM HIZ JANGWANI>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Monday, December 18, 2017

BAADA YA SALE TASA YANGA VS POLISI TANZANIA , SIMBA NA AZAM WATUMA SALAM HIZ JANGWANI>>

Klub ya Yanga jana imecheza mechi ya kirafiki dhidi ya Polisi Tanzania na kutoka sale tasa ya bila kufungana,

Yanga ambao waliingia kwa kasi ya mashabulizi ya hali ya juu kitu ambacho kiliwafanya walinzi wa Polisi Tanzania kupoteana , licha ya mashambulizi hayo Yanga watajilaumu wenyewe kwani walipata nafasi za apa na pale lakini hawakuweza uona yavu.

Tanzania polisi walijituma kipindi cha pili na kuwafanya yanga kuhangaika pasipo pata nafasi.

Ikumbukwe kuwa Polisi Tanzania iko daraja la kwanza huku timu hiyo ikipambana kupanda daraja kwenda ligi KUU ya vodacom Tanzania bara.

Simba mechi ya kirafiki ilishinda jumla ya goli 4 wakati Azam wao walifunga gol 7 kwa 1

Simba ambao wanadai kuwa wako katika kiwago safi wanasema kuwa waifunga timu yoyote atakayokutana nayo.

No comments:

Post a Comment